Rejareja na Duka
Supermarket, maduka madogo, jumla na vifaa vya ujenzi.
- Kuuza haraka kwa barcode
- Kuhifadhi kikapu na nukuu (quotation)
- Kiwango cha kuagiza na tahadhari ya stoku ndogo
- Kuhesabu stoku kwa idhini
Kila biashara inapata droo kamili, stoku, invoice, duka la mtandaoni na Booster Loan. Moduli za sekta zinaongeza kile biashara yako inahitaji, na kila moduli imejumuishwa kwenye bei.
Skrini halisi ya mfumo ikiwa na duka la mfano. Bidhaa na takwimu ni za mfano.
Moduli za sekta
Supermarket, maduka madogo, jumla na vifaa vya ujenzi.
Famasia na maduka ya dawa muhimu (ADDO).
Bucha na wasambazaji wa nyama.
Migahawa, café, baa na vyakula vya haraka.
Saluni, vinyozi na spa.
Nyumba za wageni, lodge na hoteli ndogo.
Kwenye kila kifurushi
Toa risiti za kodi za TRA kutoka kwenye POS, bila kununua mashine ya EFD.
Rekodi M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa, benki, kadi na taslimu, hata malipo ya njia mbili.
Droo inaendelea kuuza mtandao ukikatika na inatuma mauzo mtandao ukirudi.
Kila mauzo na mzigo unaoingia vinasasisha stoku. Hamisha mzigo kati ya matawi na stoo.
Uza kwa mkopo ndani ya kikomo, ona nani anadaiwa kiasi gani na rekodi kila rejesho.
Kila keshia anafungua na kufunga zamu. Kufuta mauzo na punguzo kubwa kunahitaji PIN ya meneja.
Soma kwa scanner ya USB au kamera ya simu, na chapisha lebo za bidhaa zako.
Mauzo, faida, bidhaa zinazouzwa zaidi na stoku inayokwama, pamoja na ripoti ya mwisho wa siku.
Booster Loan
Endelea kusoma
Simu, laptop, TV, vifaa vya nyumbani na vifaa vidogo, pamoja na IMEI na warranty kwa kila kifaa.
Soma zaidiVyombo vya kupikia, vya mezani, chupa za chai na vifaa vidogo, kwa saizi, ujazo, rangi na malighafi.
Soma zaidiNguo, viatu na mikoba kwa kila saizi na rangi, pamoja na kubadilisha saizi haraka.
Soma zaidiVizuri kujua
Ndiyo. Duka lolote linalouza bidhaa au huduma linaweza kutumia msingi: droo, stoku, wateja, matumizi, invoice na ripoti.
Hapana. Kila moduli imejumuishwa kwenye bei moja ya mwezi.
Tuko tayari ukiwa tayari
Bure kwa 7 siku, kisha TZS 10,000 kwa mwezi.